WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAPEWA ELIMU YA UELEWA JUU YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (Wa kwanza kulia) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi hao, elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.
Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akisisitiza jambo kuhusiana na elimu ya Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma leo.
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akitoa ufafanuzi wa elimu ya Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma leo.

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akijibu swali la mmoja wa Watumishi wa Wizara hii alipotaka kujua jinsi ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.

No comments: