KAMPUNI YA EXPORT TRADING GROUP, YATOA MCHANGO WA CODID-19

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya  Sh. 500,000,000/= kutoka kwa Kampuni ya Export Trading Group,  ukiwa ni mchango wa Kampuni hiyo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano, Frank Mtui, Kiongozi wa Kampuni (Tanzania) Niladri Choudhury, Afisa Uhusiano, Fatma Ally.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na uongozi wa Kampuni ya Export Trading Group, baada ya kupokea hundi ya  Sh. 500,000,000/= ,  ikiwa ni mchango wa Kampuni hiyo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID - 19. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano, Fatma Ally, Afisa Uhusiano, Frank Mtui na Kiongozi wa Kampuni (Tanzania) Niladri Choudhury.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments: