WCF YASHIRIKI KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2019
Wafanyakazi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wafanya usafi, watoa elimu ya kutambua na kuzuia vihatarishi vilivyopo kwenye maeneo ya kazi pamoja na kutoa misaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Mifupa (MOI) kwenye Wiki ya Utumishi wa Umma, 2019.
No comments: