EXCLUSIVE: BARNABA Azungumzia Uhusiano wa RUGE na NANDY -VIDEO
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Elias Barnabas maarufu kama Barnaba, amefunguka kuhusu mahusiano ya baba yake mlezi wa kituo cha vipaji vya waimbaji (THT) marehemu Ruge Mutahaba na Nandy kuwa hajui chochote.
Barnabas amezungumzia pia ujio mpya wa ‘tour’ ambayo anatarajia kufanya na Nandy sikukuu ya Idd huko Sumbawanga akisema ataenda kule kumsapoti Nandy.
The post EXCLUSIVE: BARNABA Azungumzia Uhusiano wa RUGE na NANDY -VIDEO appeared first on Global Publishers.
No comments: