MWAKILISHI WA BALOZI WA CHINA AKABIDHI MAJENGO YA CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI


Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akisalimiana na mwakilishi wa Barozi wa China hapa nchini Mr Xu Chen baada ya kuwasili katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi katika hafla fupi ya kupokea majengo saba yaliojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya China.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Jacob G. Kingu akipokea mfano wa funguo kutoka kwa mwakilishi wa Barozi wa China Mr Xu Chen baada ya kumaliza kukabidhiwa majengo saba yatakayo tumika kwa ajili ya ukufunzi wa Maafisa na Askari katika chuo cha Polisi Moshi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Jacob G. Kingu baada kupokea majengo saba yaliojengwa kwa ufadhili wa serikali ya China. (Picha na Jeshi la Polisi)

No comments: