BREAKING NEWS: BONDIA KUTOKA ARGENTINA ACHEZEA KICHAPO KWA BONDIA MTANZANIA NCHINI KENYA
Bondia kutoka Tanzania, Hassan Mwakinyo amemtwanga Bondia kutoka Argentina, Sergio Gonzalez kwa K.O, Raundi ya 5 katika pambano la Nairobi Night Fight lililofanyika nchini Kenya usiku huu.

Bondia kutoka Tanzania, Hassan Mwakinyo(kushoto) akimrushia konde Bondia kutoka Argentina, Sergio Gonzalez(kulia) katika pambano la Nairobi Night Fight lililofanyika nchini Kenya
Bondia kutoka Argentina, Sergio Gonzalez akiwa cchini mara baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa Bondia kutoka Tanzania, Hassan Mwakinyo
kwa K.O, Raundi ya 5 katika pambano la Nairobi Night Fight lililofanyika nchini Kenya.
kwa K.O, Raundi ya 5 katika pambano la Nairobi Night Fight lililofanyika nchini Kenya.







No comments: