Man Utd Yaipiga Chelsea Stamford Bridge bao 2-0
Timu ya Manchester United imeifunga timu ya Chelsea bao 2-0 na kuitupa nje ya michuano ya FA katika Uwanja wa Uwanja wa Stamford Bridge usiku wa kuamia leo. Mabao ya Man Utd yamefungwa na Ander Herrera akiunganisha krosi iliopigwa na Paul Pogba dakika ya 31 kabla ya Pogba kufunga bao la pili kupitia kichwa na kuipatia timu yake fursa nzuri baada ya krosi iliopigwa na Marcus Rushford.
Chelsea: Arrizabalaga; Azpilicueta (Zappacosta 82), Rudiger, David Luiz, Alonso; Kante, Jorginho, Kovacic (Barkley 71); Pedro (Willian 58), Higuain, Hazard
Subs not used: Caballero, Giroud, Hudson-Odoi, Christensen
Booked: Rudiger, Kante
Manchester United: Romero; Young, Smalling, Lindelof, Shaw; Herrera, Matic, Pogba; Mata (Pereira 76); Rashford (McTominay 90), Lukaku (Sanchez 73)
Subs not used: De Gea, Bailly, Fred, Dalot
Booked: Matic, Young
Goals: Herrera 31, Pogba 45
The post Man Utd Yaipiga Chelsea Stamford Bridge bao 2-0 appeared first on Global Publishers.
No comments: