Tuzo CAF kutolewa Januari mwakani

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetangaza tarehe 8 Januari, 2019 itafanyika hafla ya utoaji tuzo mbalimbali za wachezaji pamoja na timu zilizofanya vizuri katika michuano iliyoandaliwa na shirikisho hilo kwa mwaka 2018 kuanzia Febuari mpaka Novemba. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Vipengele ambavyo vitawaniwa tuzo katika hafla hiyo ni pamoja na Mchezaji Bora ...

No comments: