TFF yamfungia Kuuli kutojihusisha na soka
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kamati ya maadili imemfungia maisha kujihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Revocutus Kuuli baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ya kimaadili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Makosa hayo ambayo ni kusambaza nyaraka za TFF kwa watu ambao haziwahusu ambapo ni kinyume na ...
No comments: