Dk. Ndugulile amweka ndani Mganga Mkuu
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbulu mkoa wa Manyara, kuwaweka ndani Mganga Mkuu wa wilaya hiyo, Dk. Joseph Foma na Mhandisi wa ujenzi wa kituo cha afya, Mhandisi Samweli Bundala. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dk. Ndugulile ameagiza mganga huyo kuwekwa ...
No comments: