Diamond azindua Wasafi Festival, amwita Ali Kiba

MKURUGENZI mkuu wa kampuni ya Wasafi Naseeb Abdul maarufu kama ‘Diamond Platnumz’ ametangaza ujio wa tamasha kubwa la burudani Wasafi Festival ambalo linatarajia kuanzia mkoani Mtwara 24 Novemba, 2018 na kuzunguza katika baadhi ya mikoa nchini na kuelekea mpaka n je ya nchi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Tamasha hilo lenye kauli mbiu ya ‘Mchezo ...

No comments: