Samwel Eto’o Azindua Ujenzi wa Uwanja, Dar (Picha + Video)
Balozi wa Castle Lager Africa, Samwel Eto’o, Meya wa Manispaa wa Ubungo, Boniphace Jacob, Menena wa Bia ya Castle Lager Mchini, Pamela Kikuli na Balozi wa Castle Lager Tanzania, Ivo Mapunda wamezindua ujenzi wa uwanja maalumu wa soka linaloshirikisha wachezaji kumi (watano kila upande) maarufu kama ‘5-A-Side soccer’ katika eneo la Oyster Bay mkabala na jengo la Coco Plaza, jirani na ufukwe wa Coco kwa udhamini wa TBL kupitia Bia yake ya Castle Lager.
The post Samwel Eto’o Azindua Ujenzi wa Uwanja, Dar (Picha + Video) appeared first on Global Publishers.
No comments: