RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisis ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi Diwani Athumani (katikati) alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya kuzuia Rushwa na uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Nd, Mussa Hassan Ali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi Diwani Athumani alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi Diwani Athumani baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu).
No comments: