Chelsea vs Liverpool wikiendi hii
Jumamosi hii kwenye Premier League, Wana wa darajani aka the Blues - Chelsea ambao wanashikilia nafasi ya 3 katika msimamo wa Ligi watakuwa wakiwakaribisha vinara wa Ligi wanaoshikilia namba 1, Liverpool. Hii ndio mechi nadhani raia wote tunaisubiri kwa hamu. Mechi itapigwa saa 1 na nusu usiku ndani ya Supersport 3 kupitia kifurushi cha Compact kwa sh.69, 000 tu.
Mechi nyingine ni kwenye premier league Jumamosi ni
West Ham United vs Manchester United saa 8:30 mchana SuperSport 3 kwenye kifurushi DStvCompact
Manchester City vs Brighton saa 10:30 jioni Supersport 10 ya kifurushi DStv Bomb ash.19, 000 tu!
Arsenal vs Watford saa 11 jioni kwenye Supersport 5 ya kifurushi DStv Compact Plus Mteja wa DStv, Lipia kabla akaunti yako kukatika upate ofa ya chaneli za ziada za supersport za kifurushi cha juu kwa kipindi cha siku 7 ufurahie soka kabambe msimu huu bila gharama ya ziada.
Hii ni sababu nyingine ya kufurahia ukilipia kifurushi chako mapema.
Na kumbuka ukiwa na Application ya DStv Now utaweza kuangalia mechi zote kupitia simu yako ya mkononi, Tablets, Laptop na hata Desktop ukiwa mahali popote wakati wowote bila gharama ya ziada.
Jiunge na DStv Kwa sh.79, 000 tu utapewa ofay a kifurushi cha mwezi mmoja Bomba bure, Kujiunga piga 0659 070707!
DStv Moto Hauzimi!
No comments: