UNAWEZAJE KUJINASUA KWENYE PENZI LINALO KUNYIMA USINGIZI
??? *HABARI ZA ASUBUHI NDUGU ZANGU WA MAISHA NA MAHUSIANO*
?? *KATIKA SOMO LETU LA LEO NITAKUFUNZA KITU CHA MSONGI SANA JE UNAWEZAJE KUJINASUA KWENYE PENZI LINALO KUNYIMA USINGIZI?*
??Kuna watu wengi wafikia hatua wanakosa hata usingizi kwakufikiria Yale mabaya walio tendewa na wenza wao Ni kweli moyo ukipenda unakuwa umependa ila Mateso yanapozidi Mayo huo huo ndo wenye kuamua kuendelea ama kuacha, Kwanza kabisa fahamu jambo kubwa ambalo ndilo hula ufahamu hata kudhoofisha nguvu ya maamuzi nalo ni;
??Kumbu kumbu "memories" huyu ndiye adui mkubwa wa nafsi Nikiri kabisa upendo ni wa mmoja lakini kuwe na utulivu wa penzi, Kama hakuna utulivu hiyo maana ya pendo ni la mmoja itakua Haina Thamani! Watu wengi wamekuwa wakiyachukulia mapenzi nk kama siasa kwamba unaahidi vingi ila Utekelezaji kidogo ili kumpumbaza mtu, Nirudi kwenye Maana ya somo langu;
??Ni rahisi sana kuubadili Uongo kuwa ukweli kuliko kuubadili ukweli kuwa uongo Mahusiano ni faraja Mapenzi ni furaha na amani kwa maana hiyo ukikosa faraja ,furaha, amani huna haja ya kusema uko kwenye mahusiano/Mapenzi/ndoa maana hayo ndiyo yawezayo kuujenga MOYO hata ukaijuwa Thamani ya mwenza wako
??Kumbukumbu ndizo zinazoweza kujenga Bond ya upendo ama kubomoa Bond ya upendo
... Kwa maana hiyo Ukiona umepambana sana kumlinda mpenzi wako na unahisi ama kuona haendani na vile Unataka awe njia ni rahisi sana "futa kumbukumbu zake kote unakodhani ulihifadhi, acha Kusikiliza miziki ambayo mlisikiliza mkiwa pamoja, usivae nguo ama viatu alivyo kununulia usipite njia ambayo unadhani mtakutana, epuka kusoma sms zake anapokutumia chagua muda wa kupokea simu yake na kuto kupokea" usimfikirie kua yeye nimtu mhimu sana maishani mwako na mengineyo yanayofanana na hayo
??Ulinde Moyo usihisi upweke kwa yeye kutokuwepo, Jipe ushindi kwamba wewe ni wa thamani pamoja na kwamba uliyempenda ameshindwa kujua THAMANI YAKO
????Pigania amani ya upendo kuliko hata starehe ya tendo la Ndoa maana watu wengi akiona unampenda akili zao hufikiri ni mambo ya kitandani kumbe hilo ni jambo ambalo kwako wala hujawahi liweka kama kipaumbele chako, Yaishi maisha yakupayo furaha kuliko kuishi kwa kudhani furaha itapatikana kwa nguvu
??Uwapo kwenye Penzi ni lazima upewe amani na furaha Ukiona unapigania kupewa wakati ni sheria ya upendo kupewa hivyo vitu ujue hauko mahala salama hivyo usipanic chukua hatua
Na kiukweli kilamtu anaweza kuitafuta furaha yake mwenyewe.
?? _Maisha na Mahusiani Chuo cha Upendo_ ??

No comments: