Mwenyekiti Wa CCM Na Rais Magufuli Aendesha Kikao Cha Kamati Kuu Dodoma
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm kilichofanyika Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa Halmashauri ya ccm jijini dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea jijini Mwanza ambapo leo tarehe 16 julai 2019 ameendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm kilichofanyika Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa halmashauri ya ccm jijini dodoma.
Kikao kikiendelea.
The post Mwenyekiti Wa CCM Na Rais Magufuli Aendesha Kikao Cha Kamati Kuu Dodoma appeared first on Global Publishers.
No comments: