VIDEO: Wakazi wa Tandale Wampongeza JPM Kwa Kuboresha Miundombinu
WAKAZI wanaoishi maeneo ya Tandale Chama jijini Dar es Salaam wameipongeza serikali kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara inayotokea maeneo ya Tandale Chama kuelekea Manjunju Mwananyamala.
Wakazi hao wamepongeza kwajuhudi hizo za kuwajengea miundombinu hiyo kwani awali walikuwa wakihangaika kutokana na miundombinu iliyokuwepo kuwa mibovu.
The post VIDEO: Wakazi wa Tandale Wampongeza JPM Kwa Kuboresha Miundombinu appeared first on Global Publishers.
No comments: