VIDEO: Waganga TIBA Asili waomba Kuundiwa Wizara Maalum Na Serikali


Waganga wa tiba asili kupitia kiongozi ambaye ni Rais Mtendaji Wa Shirika La Tiba Na Madawa Asili Tanzania TAMECO, Sharifu Karama kutoka Mkoa Wa Tunduru amezungumzia kinagaubaga kuhusu kupatiwa vitambulisho vya wajasiriamali, na kusema na wao wanatambuliwa na kuheshimiwa katika kazi yao.

The post VIDEO: Waganga TIBA Asili waomba Kuundiwa Wizara Maalum Na Serikali appeared first on Global Publishers.

No comments: